Hapa kuna taswira ya kozi ya sehemu 8 unazotarajia katika programu hii
Tunazalisha mabadiliko ya maisha na kuwahamasisha wabadili maisha kwa vifaa vinavyobadilisha maisha kupitia kwako wewe.
Mtazamo huu wa kumlenga Yesu unawapa wachungaji, viongozi wa vijana, wahudumu wa watoto, watu wanaojitolea, wazazi na wanafunzi maono sawa na Yake Yesu na huduma Yake.
Kuwaathiri vijana wengi iwezekanavyo kumfuata Yesu.
Kuwahamasisha na kuzidisha viongozi ulimwenguni ambao watakiathiri kizazi kichanga kumfuata Yesu.
Huduma yetu ya Reach Out Youth Solutions imetumia programu ya Huduma ya Vijana Inayomlenga Yesu ili kuwaandaa viongozi katika zaidi ya mataifa 30 ulimwenguni kufunza.
Ona yale wengine wanasema kuhusu Huduma ya Vijana Inayomlenga Yesu.
Keith
Kwa vile Huduma ya Vijana Inayomlenga Yesu “inamhusu Yesu” na wala si “mkakati tu”, imefanya kazi ili kutimiza malengo yetu.
Blue
Huduma ya Vijana Inayomlenga Yesu inatupa mkakati kwa ajili ya huduma kwa vijana. Ni sawa na kunywa maji safi baada ya kuyanywa maji maudhi hapo awali katika huduma hii ya vijana.
Cody
Katika mitazamo yote iliyoko, Huduma ya Vijana Inayomlenga Yesu i mbele. Nimeitumia katika huduma yangu na Mungu ametubadilishia huduma yetu ya vijana.
4+
Bara
30+
Nchi
45+
Miaka
125+
Rasilimali
Jiunge leo na jukwa la masomo ya mtandaoni la Huduma ya Vijana Inayomlenga Yesu ya Reach Out.
Fikia jumuiya ya mtandaoni ya Huduma ya Vijana Inayomlenga Yesu leo. Uzoefu huu unapatikana katika lugha mbalimbali kwenye vifaa vyote.